@radiocitizenfm - Twitter Profile Analysis

Analysis of 200 tweets by Radio Citizen, from 30 Sep 2022 to 05 Oct 2022.

@radiocitizenfm twitter profile photo

Radio Citizen

verified twitter profile @RadioCitizenFM

The Home of Kenya's most Popular Radio Personalities, Reliable News/Information and wholesome Entertainment. #RadioNumberOne #ChemChemiYaUkweli


602,431 tweets
544,305 followers
139,772 favourites
43 tweets per day
2012 since
401 following
259 listed
Communications Centre Nairobi location

Top Tweets by @radiocitizenfm

Radio Citizen
@RadioCitizenFM
Josphat Muchiri : Tumepewa idhini ya kuangalia ubora wa GMOs na Wakenya wasiwe na hofu kila kitu kitaangaziwa kabla ya kumika hapa Nchini #Jambokenya
05 Oct, 2022 - 04:56 AM UTC
Radio Citizen
@RadioCitizenFM
Josphat Muchiri : Kwa upande wa nyama sasa hivi ni samaki tu aina ya Salmon ambao wanazalishwa kwa njia ya GMO #Jambokenya
05 Oct, 2022 - 04:54 AM UTC
Radio Citizen
@RadioCitizenFM
Josphat Muchiri : Mwaka wa 2020 Kenya ilitoa kibali kwa wakulima kupanda pamba inayozalishwa kwa njia hii, Kenya ilipiga marufuku uagizwaji wa bidhaa za GMOs lakini sio ukuzwaji wake hapa Nchini #Jambokenya
05 Oct, 2022 - 04:46 AM UTC
Radio Citizen
@RadioCitizenFM
Josphat Muchiri : Hapa Afrika zaidi ya Nchi 6 zimeruhusu matumizi ya vyakula vya GMOs na hakuna ushahidi kwamba kumekuwa na visa vya saratani na magonjwa mengine katika Nchi hizo #Jambokenya
05 Oct, 2022 - 04:42 AM UTC
Radio Citizen
@RadioCitizenFM
Josphat Muchiri : Kati ya 2010 na 2012 kulikuwa na bidhaa za GMOs baada ya kampuni kadhaa kuomba idhini, kuanzia hapo utafiti ulikuwa unaendelea kuhusiana na matumizi yake #Jambokenya
05 Oct, 2022 - 04:40 AM UTC
Radio Citizen
@RadioCitizenFM
Je ukweli ni upi kuhusu matumizi ya vyakula vya GMOs ? tegea #Jambokenya baada ya dira #RadioNumberOne
05 Oct, 2022 - 04:08 AM UTC
Radio Citizen
@RadioCitizenFM
Ni Wetangula na uamuzi wa kiranja wa wengi katika Bunge la kitaifa, je shilingi itaangukia wapi? Gumzo mtaani #Jambokenya #RadioNumberOne
05 Oct, 2022 - 04:06 AM UTC
Radio Citizen
@RadioCitizenFM
Magazeti: Museveni aingililia kutuliza mawimbi ya mwanawe. / Maoni kinzani kuhusu kuruhusiwa kwa vyakula vya GMO nchini. #JamboKenya #RadioNumberOne
05 Oct, 2022 - 04:04 AM UTC
Radio Citizen
@RadioCitizenFM
Kidosho mfia kalameni ahamia nyumbani kwao kumsubiri atoke majuu. 😅😅 #JamboKenya #RadioNumberOne
05 Oct, 2022 - 03:48 AM UTC
Radio Citizen
@RadioCitizenFM
#JukwaaLaMichezo: @Inter_en yaifunga @FCBarcelona 1-0 katika ngoma kali ya Uefa Champions Ligi, huku @LFC ikiilemea Rangers 2-0 #JamboKenya @icia_jacob @MelodySinzore1 @GeorginaNjogu
05 Oct, 2022 - 03:26 AM UTC
Radio Citizen
@RadioCitizenFM
Dira: Familia tatu eneo bunge la Lurambi kaunti ya Kakamega zinawatafuta wanao watatu wa kike ambao ni wanafunzi wa shule ya Upili ya Ebwambwa wa kidato cha nne ambao walitoweka tarehe 22 mwezi uliopita wa Septemba. #JamboKenya @ngetichfred
05 Oct, 2022 - 03:14 AM UTC
Radio Citizen
@RadioCitizenFM
Dira: Simon Njenga ni mwalimu wa masomo ya Kiswahili na dini katika shule ya msingi ya Kariguini eneo bunge la Kandara kaunti ya Murang'a ambapo aliajiriwa na tume ya kuajiri walimu TSC miaka kumi na moja iliyopita. #JamboKenya @ngetichfred
05 Oct, 2022 - 03:06 AM UTC
Radio Citizen
@RadioCitizenFM
Changamoto: Je, Mungu anataka nini kutoka kwako mkristo? Unatambua nafasi yako kwa Mwenyezi Mungu? @JeridahAndayi #Pambazuka #RadioNumberOne
05 Oct, 2022 - 02:59 AM UTC
Radio Citizen
@RadioCitizenFM
Changamoto: Je, Mungu anataka nini kutoka kwako mkristo? Unatambua nafasi yako kwa Mwenyezi Mungu? Jeridah Andayi #Pambazuka #RadioNumberOne
05 Oct, 2022 - 02:59 AM UTC
Radio Citizen
@RadioCitizenFM
Habari kuu magazetini, tegea uchambuzi ndani ya #JamboKenya na @MelodySinzore1
05 Oct, 2022 - 02:54 AM UTC
Radio Citizen
@RadioCitizenFM
Jumatano ya mabinti, unasherehekea mwanadada yupi? @MelodySinzore1 #JamboKenya
05 Oct, 2022 - 02:45 AM UTC
Radio Citizen
@RadioCitizenFM
Rise and Shine! Good morning, karibu #JamboKenya na @MelodySinzore1. Umeraukaje?
05 Oct, 2022 - 02:42 AM UTC
Radio Citizen
@RadioCitizenFM
1 Peter 5:10, : And the God of all grace, who called you to his eternal glory in Christ, after you have suffered a little while, will himself restore you and make you strong, firm and steadfast. #Pambazuka
05 Oct, 2022 - 02:07 AM UTC
Radio Citizen
@RadioCitizenFM
Mungu kwa Neema yake atakupa imani itakayokusimamisha imara. #Pambazuka #RadioNumberOne
05 Oct, 2022 - 02:05 AM UTC
Radio Citizen
@RadioCitizenFM
Mama wa zamani pia alikuwa daktari. Toa mfano wa dawa mama wa zamani alikupatia na kupona....#GoodEveningKenya
04 Oct, 2022 - 06:37 PM UTC
Radio Citizen
@RadioCitizenFM
Ni matumaini yangu kwamba siku imewaendea vyema na sasa ni wakati kujiunga nami JK Kamau Munyua kwa mara nyingine tena ndani ya #GoodEveningKenya 8pm-12am. #GoodEveningKenya #RadioNumberOne Karibu
04 Oct, 2022 - 05:00 PM UTC
Radio Citizen
@RadioCitizenFM
Order Honorable Chonga! Speaker Wetangula reprimands Kilifi South MP Ken Chonga "It is out of order to stand up and shout at your colleague across the aisle, you seek the speaker’s permission and then pursue a counterargument..."
04 Oct, 2022 - 03:02 PM UTC
Radio Citizen
@RadioCitizenFM
Mke Analalamika kwamba mume wake anamtaka kuacha kazi ili aweze kuwalea watoto wao, Je ni sawa? #DriveOnReloaded #RadioNumberOne
04 Oct, 2022 - 02:47 PM UTC
Radio Citizen
@RadioCitizenFM
Deputy President Rigathi Gachagua makes a light comment at the burial of his brother Jack Reriani Gachagua.
04 Oct, 2022 - 02:46 PM UTC
Radio Citizen
@RadioCitizenFM
Ugandan President Yoweri Museveni promotes son Muhoozi Kainerugaba to full General, drops him as Commander UPDF Land Forces
04 Oct, 2022 - 02:44 PM UTC
Radio Citizen
@RadioCitizenFM
Ugandan President Yoweri Museveni promotes son Muhoozi Kainerugaba to full General, drops him as Commander UPDF Land Forces
04 Oct, 2022 - 02:42 PM UTC
Radio Citizen
@RadioCitizenFM
ICYMI: Crystal Kegehi Asige sworn-in as Senator, representing Persons Living with Disabilities (PLWDs), she was accompanied by senators Faki Mohamed and Margaret Kamar
04 Oct, 2022 - 02:39 PM UTC

Top Retweets by @radiocitizenfm

No retweets found.
@radiocitizenfm's

Tweets

196 tweets
0 retweets
4 replies
@radiocitizenfm's

Twitter Client

81 TweetDeck
47 Twitter for Android
37 Twitter Media Studio
35 Twitter Web App
@radiocitizenfm's

Tweet Times

@radiocitizenfm's

Tweet Days


@radiocitizenfm's

Retweets

No retweets found.
@radiocitizenfm's

Replies

3 - RadioCitizenFM
1 - wamalwaKe
@radiocitizenfm's

Hashtags

58 - #RadioNumberOne
49 - #JamboKenya
26 - #Jambokenya
20 - #DriveOnReloaded
13 - #WaksTikiTaka
13 - #Pambazuka
12 - #RogaRoga
9 - #MamboMseto
6 - #PambazukaJumapili
@radiocitizenfm's

Mentions

21 - @MelodySinzore1
13 - @nyambega_jared
12 - @fredomachoka
12 - @GeorginaNjogu
8 - @AQtee
8 - @ShattaTikiTaka
7 - @abdimunai
7 - @OgalTina
6 - @djflashkenya